Habari

Abasia Yetu Inakua...

SIKUKUU YA MT. BENEDIKTO  iliadhimishwa kwa furaha kubwa hapa Ndanda wakati Vijana wetu wapatao sita walipofunga nadhiri zao.

Wavovisi Wapya Wapokelewa

Jioni ya tarehe 9 Oktoba, wakati wa sala ya Jioni, Abate Placidus Mtunguja aliwapokea wapostulanti sita katika Novisiati.

Bro. Dr. Jesaja OSB - Mmisionari Mpya wa Ndanda

ABASIA KUU ya St. Ottilien imemtuma Bro. Dr. Jesaja Sienz kuwa Mmisinari Ndanda.

Pd. Placidus Mtunguja -Abate wa Tano wa Ndanda

Tarehe 4 Julai 2015 Watawa wa Abasia ya Ndanda wamemchagua Pd. Placidus Mtunguja kuwa abate wa nne wa Ndanda.

Abate Dionys Lindenmaier Ang'atuka Madarakani

LEO ABATE DIONYS OSB amejiuzulu wadhifa wake kama abate wa nne wa Ndanda.

Buriani Bradha Michael!

BRADHA MICHAEL MILLER OSB  amefariki dunia.

***

Mapadre Wapya Ndanda

Hapo Julai 11, Sikukuu ya Mtk. Benedikto, Baba Askofu Gabriel Mmole wa Jimbo la Mtwara alitoa daraja la Upadre kwa mashemasi watano; wanne wa Abasia na mmoja wa jimbo la Mtwara.

Habari kwa ufupi katika picha ...

Matokeo Kidato cha Nne 2012

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani kidato cha Nne mwaka jana.

Abate Mkuu Mpya Abarikiwa

Siku thelathini baada ya kuchaguliwa kuwa Abate Mkuu mpya wa St. Ottilien hapo Disemba 17 mwaka jana, Wolfang Öxler amepokea leo baraka ya kiabate.

Abate Mkuu Mpya St. Ottilien

Pd. Wolfang Öxler amechaguliwa kuwa Abate Mkuu mpya wa Abasia Kuu ya St. Ottilien.

Pages